Ad Code

KITUO CHA NANE, AKINA MAMA WANAMLILIA YESU



WIMBO
Wanawake wa Israeli Musilie kwa sababu hiyo, Muwalilie hao kwa dhambi Upanga, upanga ni juu yao.

KITUO CHA NANE.
Akina mama wanamlilia Yesu.

Ee Yesu tunakuabudu tunakushukuru.

Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu.

Asanteni sana akina mama kwa moyo wenu wa huruma.

Ee Yesu uliyetulizwa na wanawake, unipe moyo wa kuwaheshimu akina mama wote.
Uwaite na wasichana wengi waingie utawa, ili watulize Moyo wako Mtakatifu kwa sala na sadaka zao.

Baba yetu..(×1)

Salamu Maria..(×1)

Atukuzwe Baba na..(×1)

K. Ee Bwana, utuhurumie….
W.Utuhurumie…..

Roho za waamini wapate rehema kwa Mungu, kwa amani.
Amina.

Post a Comment

0 Comments