Ad Code

KITUO CHA KWANZA. Yesu anahukumiwa afe


Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru.
Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu.

Pilato anamhukumu Yesu ingawa haoni kosa lake, anawaogopa Wayahudi. Anabembeleza urafiki wa Kaisari.

Ee Yesu usiye na kosa, hata Mimi ningeweza kutenda mema mengi, lakini naogopa macho ya wezangu na maneno yao.
Ee Bwana, niimarishe utashi Wangu, nijitegemee katika kushika madaraka yangu.

Baba yetu….(×1)

Salamu Maria….(×1)

K.Ee Bwana, Utuhurumie….

W.Utuhurumie….

Roho za waamini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.
Amina.

Post a Comment

0 Comments